Lyrics Labs
Sofia Lyrics - Artist : Sauti Sol
Utanikumbuka Sofia navyocheka navyotabasamu
Utanikumbuka Sofia mapenzi yangu ya ajabu
Giza nene lilitanda moyo wangu uliponiacha
Machozi nayo kanitiririka niendeje mama

Utanikumbuka Sofia
Utanikumbuka Sofia
Utanikumbuka Sofia
Utanikumbuka, utanikumbuka

Navyocheka navyotabasamu (utanikumbuka)
Mapenzi yangu baibe (utayakumbuka)
Giza na taa (utanikumbuka)
Dhiki faraja (utanikumbuka)

Giza nene lilitanda moyo wangu uliponiacha
Machozi nayo kanitiririka nifanyeje mama
Yeah yayaya, yayaya yeah

Utanikumbuka Sofia
Utanikumbuka Sofia
Utanikumbuka Sofia
Utanikumbuka, utanikumbuka

Kwaheri, kwaheri Sofia
Kwaheri, kwaheri Sofia
Kwaheri, kwaheri Sofia
Kwaheri, kwaheri Sofia

Utanikumbuka Sofia (utanikumbuka Sofia)
Utanikumbuka Sofia (utanikumbuka Sofia)
Utanikumbuka Sofia (utanikumbuka Sofia)
Utanikumbuka, utanikumbuka
Soooo... soooo...

Sintonisahau Sofia navyocheka navyotabasamu
Sintonisahau Sofia mapenzi yangu ya ajabu
Giza nene lilitanda moyo wangu uliponiacha

Copyright © 2009-2024
Privacy policy - DMCA Policy - Contact Us