|
NAIROBI Lyrics - Artist : Sauti Sol
SUUUDAAAAH
Habari mbaya zimenifikia Mandugu zangu wananikulia Kumbe sahani yangu ni sinia Na inaniuma sana Yule mpenzi niliaminia Nikamueka mbele ya dunia I must be trippin' nikikurudia Umenitesa sana Nairobi Yule anakupea, pia ananipea Akikuletea, ananiletea Wanakula fare Sote tunashare Ogopa sana Nairobi Yule anakupea, pia ananipea Akikuletea, ananiletea Wanakula fare Sote tunashare Ogopa sana mama Marashi yako yalinivutia Siku ya kwanza ulipopitia Kumbe si mi pekee nilinusia Yolanda ya lavender Na mbogi yangu iliniambia Eti nikusare but sikusikia I don' wanna do this sh*t no more my dear Najuta kupendana Nairobi Yule anakupea, pia ananipea Akikuletea, ananiletea Wanakula fare Sote tunashare Ogopa sana Nairobi Yule anakupea, pia ananipea Akikuletea, ananiletea Wanakula fare Sote tunashare Ogopa sana mama Gonga, gonga like ... Rieng, rada Siku hizi madame ni blanda Jana cuzo alimkaza His family, ah ah Get together kwa bed Hio story tumekataa Maboy wengine blanda Watakukulia mama Na wakuchekeshe sana Madame madame, eh Madame wa siku hizi Wana machali wengi Nilichapa mmoja juzi Ikaingia ndaaaaani, dive! Nairobi Yule anakupea, pia ananipea Akikuletea, ananiletea Wanakula fare Sote tunashare Ogopa sana Nairobi Yule anakupea, pia ananipea Akikuletea, ananiletea Wanakula fare Sote tunashare Ogopa sana mama |
Copyright © 2009-2024 |