|
Wasi Wasi Lyrics - Artist : Rayvanny
Heyy...
Hmm heyy heyy... Mmhmhmmm... Upepo mwanana Nawe upo kifuani mwangu Jua likizama Mikono salama Karibu kwenye moyo wangu Mi baba uwe mama Aah... Zima taa washa mishumaa Nilishe kama na njaaaa Aah... Kila dakika kila masaa Palilia penzi litasinya Aah... Sura yako macho yako Upole wa mama yako We chaguo langu Mama aah Taswira yangu picha yako Moyo wangu mali yako We chaguo langu Mama aah Wasiwasi Mwenzako sina Maana niko na wewe Wasiwasi Tunza heshima Niwe na ww milele Wasiwasi Uko na mm usiwe na Wasiwasi Uniaminiii Usiwe na wasiwasi Ntakuganda ruba Pua na leso tufatane Mahabuba Tuwe mapacha tufanane Wenye husuda wakiroga tutengane Ongeza rutuba Nije na pete tuoane Supu chukuchuku Miguu ya vikuku Ayy Utaua ehh Utaua ehh Na haya manusunusu Ukinibusubusu Ayy Maua ehh Maua ehh Sura yako macho yako Upole wa mama yako We chaguo langu Mama aah Taswira yangu picha yako Moyo wangu mali yako We chaguo langu Mama aah Wasiwasi Mwenzako sina Maana niko na wewe Wasiwasi Tunza heshima Niwe na ww milele Wasiwasi Ehhhh Uko na mm usiwe na Wasiwasi Uniaminiii Usiwe na wasiwasi |
Copyright © 2009-2024 |