Lyrics Labs
Inanimaliza Lyrics - Artist : Harmonize
First time when I saw you nilitamani nikueleze
How I feel that was dream come true
Alau macho nikukonyeze maybe you can feel asuu
Moyo ungekuaga kitabu ningefunia uone yaliyomo ndani
Yani mwenzako napata tabu sina furaha ata tone
Nioneege imani oh my love (Ooohoo}

Macho yanaona kama umejibu yes, moyo unaona kama umeseme no ooh ooh
Macho yanaona kama umejibu yes, moyo unaona kama umesema no oooh
Nonono kusema kweli mi inaniumiza inanimaliza na sijamaliza
Inaniumiza inanimaliza na sijamaliza

Baylon easy yeah ah
Chibonge nimekua kibaombao
Ghafla chui nimekua kinyau nyau
Mpaka sijui nayosema nimesahau
Vita ya penzi imekua kama maumau
Nikiona sura nakonda nikiona chura nasindwa kubonga
Nakua mbulura masikini omba omba
Kutwa nazurura kutuliza kidonda
Maumivu kama yangu anayo Konde Boy
Namtuliza mwanangu ahh usikonde boy
Macho yanaona yes akili inasema no nooo atakukazia

Macho yanaona kama umejibu yes moyo unaona kama umeseme no ooh ooh
Macho yanaona kama umejibu yes moyo unaona kama umeseme no no nonono
Yeah kusema kweli mi inaniumiza inanimaliza na sijamaliza

Inaniumiza inanimaliza na sijamaliza

Copyright © 2009-2024
Privacy policy - DMCA Policy - Contact Us