|
Iyena Lyrics - Artist : Diamond Platnumz
[Diamond Platnumz:]
Ah Leo Chereko Chereko Mwanenu nimekuwa Zile kuringa mideko itapungua Ahsante mama ulinifunza nkajua Baba kasema kuomba mwiko Raha ya chumvi kununua Tena si kwa nazi Si hirizi za waganga Kwa baraka za baba na mama Tu na dua Waambie paparazi Pingamizi wenye viranga Waliosema hayawi hayawi yamekuwa Iyena Iyena Iyena Iyena Iyena Iyena Kwaheri tutaonana Iyena Iyena Iyena Iyena Iyena Iyena Ntawakumbuka sana Ooh.. Ndoa baraka Ukipata ushukuru Maana wanayoililia ni wengi sana Kwetu talaka Kuitoa ni kufuru Nimefunzwa vumilia Niushinde ujana Ili kesho mahususi Kusudi wasinong'one Embu nichumu niringe washushuke Na hii pete ya harusi Nakuvisha waone Wakale sumu Wavimbe wapasuke [Diamond Platnumz |
Copyright © 2009-2024 |