|
Top Form Lyrics - Artist : Nyashinski
(Eh, beat tamu)
(Eh, beat tamu) (Ehh) Yeah, yeah (Uhh) Yeah Uh Mwaka mzima hakuna show, sa unatakaje? (Sa unatakaje?) Ka ki-cookie, rent haishuki na mi ni mzazi Vitu sihitaji zina-feel stupid, so sikupi mziki huhitaji Kwa ufupi, chini si-stoop, mimi niko juu vile huwezi imagine Watu wanataka hope (Watu wanataka hope) Niitoe wapi? (Niitoe wapi?) Mi mwenyewe nashangaa hii row najua kutaendaje? (Kutaendaje?) Vitu ka mng'aro kwanza nishatoa kwa budget Sijali kwa 'Gram hizo mapicha zinatokaje Madeni za ma-supplier, grown men sa wanagwaya Pia mi naomba nipeeni chance ka KEMSA wana-hire Ulim-judge, sa unamwita mentor juu kuna pesa kwa umalaya Shingo inameremeta, nakaa influencer wa mawaya Heh, mi huwa na simu, ukiniita bash, nakuja na till Na look ina-clash na sura ya ndimu Na watu una-trust ndio watu naheshimu Ka kuna cash ndio nashika simu Ka niko works, nakuwanga mashini Nalipa tax na nalipa bill, ndio maana ni black alafu iyasin Hawa ma-youngin' wananeed mentorship More than wana-need censorship Kwa street mi ni evangelist Wana-serve tea, mi na-serve confidence Success si by accident, na usi-focus-ie past events Na rulebook jua tu must i-bend The good book said don't judge me, man Kwa top three, mi ni number one, two, three Of course hii city iko na love for me Na-approach hii kitu kama destiny Ma-softie ndio huwanga wa-loud vizii Ka hunioni, hata mi sikuoni But haifiki jioni ka huniskii redioni Mi ni ka news, we hata na miwani Hata na binocular, bado mi sikuoni Paid my dues, my lifestyle choices ni headline news Hakufai kuwa na jam niki-headline shows Grown ass men complain like hoes Ku-sign wasanii haina deadline, bro Yup, I'll do it when I do it (When I do it! Eh, eh, eh!) Mwaka mzima hakuna show (Acha tuziashe) Acha tuziashe (Acha tuziashe) Kilimanjaro tu ndio itapita hii highness (Yeah, yeah) Ama collabo kati ya mi na South C's finest (R.I.P.) Ata kwa mtaro utanipata na designer (Acha tuziashe) (Kilimanjaro tu ndio itapita hii highness) (For my people I do whatever I can) |
Copyright © 2009-2024 |